Rais Jakaya Kikwete, amewapa pole mawaziri wanne waliofutwa nyadhifa zao kutokana na matatizo yaliyowakuta na kuwapongeza kwa uamuzi wa kukubali kuwajibika kwa makosa yaliyofanywa na maofisa wa chini yao wakati wa utekelezaji wa Operesheni Tokomeza Ujangili.
Mawaziri ambao uteuzi wao ulitenguliwa na Rais Kikwete ni Dk. Emmanuel Nchimbi (Mambo ya Ndani); Mathayo David Mathayo (Mifugo na
↧