Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimefungua milango kwa Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, katika harakati za kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.
Kimesema wanaombeza kwa madai kwamba rushwa anayoipigia kelele iliasisiwa wakati akiwa madarakani, hawalitakii mema taifa.
Kauli ya kumkaribisha Sumaye kujiunga na Chadema ilitolewa na Mwenyekiti wake, Freeman Mbowe, juzi
↧