Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe jana alitinga mahakama kuu kupinga
kujadiliwa kwenye kikao cha kamati kuu ya Chadema,Kikao ambacho kilikuwa
kikutane leo.
Hii ni kauli yake baada ya mahakama kumpa ushindi;
"Jana tulikwenda mahakamani kwa ajili ya jambo moja tu kutaka haki
itendeke kwa sababu mahakaama ndiyo chombo cha juu kabisa kwenye nchi
yetu cha kuweza kutenda haki
↧