Mbunge wa Kigoma Kaskazini kwa tiketi ya Chadema, Zitto Kabwe leo ametinga Mahakama Kuu ya Tanzania,Kanda ya Dar es Salaam kuweka pingamizi la kisheria kuzuia Mkutano wa Kamati Kuu ya CHADEMA uliopangwa kufanyika kesho tarehe 3/1/2014.
Zitto kupitia kwa Wakili wake Albert Gabriel Msando,aliwasilisha pingamizi hilo kwa Hati ya dharura iliyosainiwa na Wakili Msando. Pingamizi hilo
↧