Rehema Chalamila amekasirika na kwa jinsi ambavyo anawachukia wauza
unga, hana hata chembe ya huruma kwa Jackie Cliff aliyekamatwa na madawa
ya kulevya huko Macau, China mwezi December mwaka jana, 2013.
Awali Ray C aliweka picha Instagram ya Jackie akiwa amekamatwa na
vyombo vya dola nchini humo bila kuandika chochote, lakini mizuka ya
kufunguka ilikuja kupanda baada ya
↧