Timu nzima ya mtandao huu inapenda kuwatakia heri ya mwaka mpya wasomaji wetu wote popote walipo nchini Tanzania na duniani kwa ujumla....
Moyo usio na shukrani hukausha baraka zote, hivyo kwa moyo mkunjufu kabisa, Mpekuzi blog inapenda kutoa shukrani zake za dhati kwako wewe msomaji wetu kwa sapoti yako kubwa uliyotupa mwaka 2013 na kutufanya
↧