Mwanamke amuua mpenzi wake kwa kuvuta betri zake ( Korodani ) mkoani Simiyu
JESHI la Polisi mkoani Simiyu linamshikilia mwanamke na mkazi wa Kijiji cha Usiulize wilayani Meatu kwa tuhuma za kumuua mpenzi wake kwa kumvuta korodani, kutokana na wivu wa kimapenzi. Kamanda wa...
View ArticlePolisi mkoani Morogoro wakamata gari lenye maiti yenye madawa ya kulevya
Jeshi la Polisi mkoani Morogoro limefanikiwa kukamata gari dogo aina ya Toyota Spacio likiwa limebeba mwili wa mtu aliefariki ambaye alitambulikwa kwa Jila la Khalid Kitala (47) na kukutwa na kete...
View ArticleBinti mwenye nywele na sura ya kiume asimulia changamoto anazokumbana nazo
Queen ni mtoto wa 4 kati ya familia ya watoto 5. Ni msichana mzuri na mrembo kimtazamo, lakni tatizo kubwa linalomkabili maishani mwake ni nywele ambazo zimekuwa zikimfanya aonekane kama...
View ArticleRasimu kuhusu mahakama ya Kadhi Zanzibar yakamilika....
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema Rasimu ya Mahakama ya Kadhi imekamilika na inatazamiwa kuwasilishwa katika ngazi za makatibu wakuu kabla ya kufikishwa kwenye Baraza la Mapinduzi.Waziri wa...
View ArticleTaharuki yatanda kufuatia moshi katika majengo ya benki kuu.
Taharuki na hofu ya moto imewakumba wakazi wa jiji la Dar es Salaam maeneo ya katikati ya jiji kufuatia Moshi mkubwa uliokuwa ukitoka katika mojawapo ya majengo ya benki kuu ya Tanzania na kusababisha...
View ArticleJackie Cliff adaiwa kukamatwa na madawa ya kulevya nchini China
Jackie Cliff ambaye ni video queen wa Bongo anadaiwa kukamatwa na dawa za kulevya nchini China. Star mmoja nchini aliyekataa kutajwa jina lake aliutonya mtandao wa swahiliworldplanet bila...
View Article"Natamani kuokoka....Natamani kumrudia yesu kristo"...Aunt Ezekiel
Licha ya kubadili dini na kuwa muislam kisha kupewa jina la Rahma, staa wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel amesema sasa anatamani kurejea ‘ulokoleni’ na kumrudia Yesu kwa kuokoka. Akizungumza na gpl...
View Article"Sitavunjika moyo kwa yaliyonikuta...Nitaendelea kuwa kiongozi wa kisiasa na...
Aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Shamsi Vuai Nahodha amesema licha ya kuvuliwa uwaziri ataendelea kuwa kiongozi wa kisiasa na kukitumikia chama chake na wananchi bila ya kuvunjika...
View ArticleDiamond Platnumz kuwasomesha watoto watatu walioshinda shindano la kucheza...
Diamond Platnumz ni bingwa wa kuitumia karata yake ya Public Relations vizuri. Mwezi August mwaka huu aliicheza vizuri baada ya kumfanyia surprise mwanamuziki mkongwe wa Tanzania Muhidin Gurumo kwa...
View ArticleKilichowaponza mawaziri wa Kikwete chabainikia....Kisiporekebishwa, mawaziri...
MKUU wa Wilaya ya Bunda, Joshua Mirumbe, amekerwa na tabia ya watendaji wengi wa serikali kutowajibika ipasavyo na matokeo yake kuwabebesha mizigo mawaziri na Rais. Alisema chanzo cha wizara nyingi...
View ArticleBaada ya Mawaziri kung'olewa.....Je, wakuu wa mikoa na wilaya...
HATUA ya kujiuzulu kwa mawaziri wanne kutokana na ‘uzembe’ uliojitokeza katika utekelezaji wa Operesheni Tokomeza ni ya uungwana. Ni heshima kwa kiongozi kuwajibika pale inapotokea anaowaongoza...
View ArticleRafiki wa karibu wa Jackie Cliff asimuliwa jinsi mrembo huyo alivyokamatwa na...
Rafiki wa karibu wa Jackie Cliff, Chief Rocka amethibitisha taarifa zilisosambaa kuwa msichana aliyekamatwa na kilo 1.1 ya madawa ya kulevya aina ya Heroin huko Macau, China ni yeye. “Amekamatwa...
View ArticleRais Kikwete arejea nchini akitokea Marekani ambapo alikwenda kuangalia afya...
Makamu wa Rais Dk.Mohamed Gharib Bilal akimlaki Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya Kuwasili nchini akitokea jijini New York Marekani ambapo alikwenda kwa ukaguzi wa kawaida wa afya...
View ArticleSerikali yatangaza majina ya waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza
Jumla ya watahiniwa 411,127 kati ya 427,609 waliofaulu mtihani wa kumaliza darasa la saba mwaka 2013 wamechaguliwa kujiunga na elimu ya sekondari katika shule za Serikali. Hata hivyo, kwa mujibu wa...
View ArticleVideo ya sekunde chache ya kile kilichojiri katika operesheni tokomeza...Ni...
Kilichotokea kwa kweli ni zaidi ya unyama. Hii ni video fupi ya tukio hilo
View ArticleMwanaume mmoja apigwa hadi kufa baada ya kufumaniwa na mke wa mtu mkoani Kigoma
MTU mmoja m kulima na mkazi wa eneo la Kumsenga wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma, aliyefahamika kwa jina la Yusuph Pascal, ameuawa kwa kupigwa na vitu mbalimbali katika tukio linalodaiwa kuwa ni fumanizi...
View ArticleKijana mmoja afungwa kifungo cha maisha baada ya kumlawiti mtoto wa kaka yake...
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi wilayani Nzega, Tabora, imemhukumu Juma Lufunga (26) kifungo cha maisha jela baada ya kukutwa na hatia ya kumbaka mtoto wa kaka yake na kumsababishia maumivu makali. Akitoa...
View ArticleRais Kikwete awatembelea na kuwafariji wagonjwa Muhimbili....
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali mtoto Andrew Simba(15) aliyelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili wakati Rais alipowatembelea na kuwafariji baadhi ya wagonjwa katika wodi ya...
View ArticleSerikali ya Zanzibar yakabidhi nyumba mpya kwa wananchi wake ikiwa ni moja ya...
Rais mstaafu wa awamu ya sita wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Amani Abeid Karume amesema majumba ya Mpapa yaliyokabidhiwa kwa wananchi 24 kutoka shehia 6 ya jimbo la bambi yanahitaji...
View Article"Bora kuvuliwa nguo na mwanaume kuliko kuuza madawa ya kulevya"....Huu ni...
Hiki ndicho Alichokiandika Mwamvita makamba baada ya kusikika taarifa ya kukamatwa jack cliff na madawa ya kulevya nchini China.. <!-- adsense -->
View Article