Jeshi
la Polisi mkoani Morogoro limefanikiwa kukamata gari dogo aina ya Toyota
Spacio likiwa limebeba mwili wa mtu aliefariki ambaye alitambulikwa kwa
Jila la Khalid Kitala (47) na kukutwa na kete kadhaa za Madawa ya
Kulevywa tumboni.
Kamanda
wa polisi mkoani Morogoro, Faustine Shilogile amethibitisha kutokea kwa
tukio hilo na kusema kuwa walipata taarifa za kuwepo kwa gari hilo
↧