Rais
mstaafu wa awamu ya sita wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt.
Amani Abeid Karume amesema majumba ya Mpapa yaliyokabidhiwa kwa wananchi
24 kutoka shehia 6 ya jimbo la bambi yanahitaji kulindwa na kutunzwa
ili yaweze kudumu zaidi uhai wake.
Hayo
ameyasema huko bambi wakati alipokua akiyakabidhi nyumba hizo kwa
familia kadhaa katika sherehe za kuzifungua nyumba hizo kwa
↧