Makamu wa Rais Dk.Mohamed Gharib Bilal akimlaki Rais Dkt.Jakaya
Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya Kuwasili nchini akitokea jijini New York
Marekani ambapo alikwenda kwa ukaguzi wa kawaida wa afya yake.
Akiwa nachini
Marekani Rais Kikwete alialikwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Bwana Ban ki
Moon nakufanya naye mazungumzo kuhusu ushiriki wa majeshi ya Tanzania katika
ulinzi wa Amani
↧