HATUA ya kujiuzulu kwa mawaziri wanne kutokana na ‘uzembe’ uliojitokeza
katika utekelezaji wa Operesheni Tokomeza ni ya uungwana.
Ni heshima kwa
kiongozi kuwajibika pale inapotokea anaowaongoza wamefanya uzembe
uliosababisha maafa ama athari yoyote kwa taifa. Vifo, adhabu na
udhalilishaji waliotendewa wananchi wenzetu si haki hata kidogo na
katika hili hatuna maneno rahisi ya kusema
↧