Diamond Platnumz ni bingwa wa kuitumia karata yake ya Public
Relations vizuri. Mwezi August mwaka huu aliicheza vizuri baada ya
kumfanyia surprise mwanamuziki mkongwe wa Tanzania Muhidin Gurumo kwa
kumnunulia gari kwenye uzinduzi wa video yake ya 'My Number One'
uliofanyika Serena Hotel jijini Dar es Salaam.
Jumatano hii, staa huyo aliyekuwa ameandaa show maalum ya Christmas
↧