Diana Kimaro wa bongo movie ajuta kuianika BIKRA yake mitandaoni
Takribani miezi kadhaa iliyopita star wa filamu Diana Kimaro alikaririwa akisema kuwa yeye ni bikira na hajawahi kulala na mwanaume yeyote kwani yupo busy na shule.... Diana aliyasema hayo katika...
View ArticleTaarifa kuhusu bei mpya za umeme zitakazoanza kutumika tarehe 1 /1/ 2014
Tarehe 11 Oktoba 2013, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) liliwasilisha maombi ya kurekebisha bei ya umeme kwa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA). TANESCO ilipendekeza kuongeza...
View ArticleWatu saba wakamatwa wakijiandaa kulipua nyumba za Ibada
Na Oscar Assenga, Korogwe -- JESHI la Polisi mkoani hapa kwa kushirikiana na wakazi wa Kijiji cha Maili kumi wilayani Korogwe wamefanikiwa kuwakamata watu saba kwa tuhuma za kuhusika na kuweka...
View Article"Nilijazwa mimba nikiwa na umri mdogo sana....Jamii ilinitenga, ila ujasiri...
Mkurugenzi wa Benchmark Production, Rita Paulsen aka Madam Rita amesema yeye ni miongoni mwa wanawake waliopata ujauzito wakiwa na umri mdogo lakini alikuwa jasiri wa kukabiliana na hali hiyo hadi...
View ArticleDr. Slaa akerwa na mapokezi ya Zitto Kabwe Kigoma na kuamua kumzuia kufanya...
Zitto Kabwe jana amefanya mkutano wa 3 ndani ya Mkoa wa Kigoma,mikutano hii ilianza siku ya Jumamosi kwa sehemu ya Mwandiga mahali alipozaliwa na kukulia,Kasulu ilikua juzi na jana kafanya...
View ArticleWahamiaji haramu warejea kwa kasi Kagera....Ni wahamiaji wanaojiita M23 na...
Katika hali isiyo ya kawaida, wahamiaji haramu waliorejeshwa nchini mwao na serikali katika ‘Operesheni Kimbunga’ wameanza kurejea kwa wingi katika Wilaya ya Kyerwa, mkoani Kagera wakijiita M23 na...
View ArticleWastara awaomba mashabiki kuungana naye 28 Dec makaburini Kisutu kwaajili ya...
Msanii wa filamu, Wastara Juma amewaomba Watanzania na wadau mbalimbali kuungana naye siku ya tarehe 28 December 2013 saa tatu asubuhi makaburini Kisutu jijini Dar es Salaam kwaajili ya kufanya dua...
View ArticleKijana mmoja ashambuliwa hadi kufariki dunia maeneo ya Mbezi Luis jijini Dar...
Wananchi wakiwa hasira kali wamempiga hadi kumuua mwanaume aliyedhaniwa kuwa ni mchawi baada ya kuanguka akiwa amepanda ungo maeneo ya Mbezi Luis jijini Dar es Salaam. Jamaa huyo mkazi wa Mwanza...
View ArticleTunawatakia sikukuu njema ya Christmas...
Tunapenda kuwatakia sikukuu njema wasomaji wetu wote....Mungu awabariki na kuwalinda.
View ArticleWadau wapinga bei mpya za umeme
Baadhi ya wachumi na wadau mbalimbali wa nishati ya umeme wameikosoa hatua ya Shirika la Ugavi wa Umeme Tanzania (Tanesco) baada ya kuongeza gharama za umeme kwa maelezo kuwa hatua hiyo itamkandamiza...
View ArticleGazeti la Mtanzania litakuwa mtaani tena kuanzia ijumaa ya wiki hii baada ya...
GAZETI la Mtanzania ambalo serikali ililifungia kuchapishwa kwa muda wa siku 90 kwa kile ilichokieleza kuwa ni kuandika habari za uchochezi sasa litaanza tena kuchapishwa na kusambazwa nchini Ijumaa ya...
View ArticleSura mpya ya baraza jipya la mawaziri litakaloundwa na JK muda wowote kuanzia...
MABADILIKO makubwa ya Baraza la mawaziri yanayotarajiwa kufanywa wakati wowote kuanzia sasa na Rais Jakaya Kikwete yameanza kuonyesha kila dalili za kuibua sura mpya na ambazo hazitarajiwi na wengi...
View ArticleMazingaombwe ya CHADEMA jijini Mwanza....Vurugu kubwa zaibuka kati ya Meya na...
ILIKUWA ni kama uwanja wa vita na mipasho, ndivyo unavyoweza kusema, baada ya kuibuka vurugu kubwa kati ya Meya wa Halmashauri ya Ilemela, Henry Matata na madiwani wake wa Chama Cha Demokrasia na...
View ArticleKocha wa Simba afariki dunia....
Aliyekuwa kocha wa makipa wa Klabu ya Simba, James Kisaka amefariki dunia leo asubuhi katika Hospitali ya Burhan, Dar es Salaam. Kisaka aliyewahi kuwa kipa wa timu hiyo miaka ya nyuma, alikuwa...
View ArticleVideo ya wapenzi wakingonoka vichakani yanaswa
Hakika mapenzi hayana heshima...Baba mtu mzima mwenye mke na watoto amefuamiwa live na Domo Langu akingonoka kichakani na binti yake wa kazi.... Kwa mujibu wa mtandao wa Domo Langu,...
View ArticleDk. Emmanuel Nchimbi ampigia magoti mwenyezi Mungu ili ampe moyo wa kusamehe...
SIKU chache baada ya aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Dk. Emmanuel Nchimbi kuvuliwa wadhifa wake kwa tuhuma za kushindwa kusimamia wizara yake, kiongozi huyo ametaka apewe moyo wa upendo na...
View ArticleBaada ya kumtema Penny...Diamond amtangaza rasmi Wema Sepetu kuwa ni Mchumba...
Tukio hilo lilitokea jana pale Leaders club kwenye show ya Diamond ambapo Wema Sepetu alipanda kwenye stage na kuongea na mashabiki waliofika kwenye show hiyo.... Kwenye hiyo show, Diamond...
View ArticleMwanafunzi abakwa kikatili mkoani Singida....Sehemu zake za siri na makalio...
Mwanafunzi wa kike,13, (jina linahifadhiwa) anayesoma darasa la tano katika shule ya Msingi Unyakumi, mkoani Singida, amefanyiwa unyama kwa kubakwa na kijana aliyemtaja kwa jina moja la Mapunda...
View ArticleRais Kikwete kuwasili leo nchini na SIRI nzito....Je, ataamua kuendelea...
Rais Jakaya Kikwete anatua nchini leo akiwa na lake moyoni kuhusu hatima ya baraza lake la mawaziri, baada ya kutengua uteuzi wa mawaziri wake wanne, wiki mbili zilizopita. Rais Kikwete alikwenda...
View ArticleWaziri Mkuu Mizengo Pinda, ambaye anakabiliwa na shinikizo la kujiuzulu...
Waziri Mkuu Mizengo Pinda, ambaye anakabiliwa na shinikizo la kujiuzulu amesema atazungumzia hatima yake baada ya sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya. Gazeti la The Citizen, lilimkariri Pinda jana...
View Article