Zitto Kabwe jana amefanya mkutano wa 3 ndani ya Mkoa wa
Kigoma,mikutano hii ilianza siku ya Jumamosi kwa sehemu ya Mwandiga
mahali alipozaliwa na kukulia,Kasulu ilikua juzi na jana kafanya Kigoma
mjini eneo la Mwanga kwenye uwanja wa Community Centre....
Mkutano
ulianza sa 10 kiitifaki ulitanguliwa na viongozi wa Chadema wa
mkoa,kisha Zitto Kabwe kupanda Jukwaani na moja kati ya
↧