Katika hali isiyo ya kawaida, wahamiaji haramu waliorejeshwa nchini mwao na serikali katika ‘Operesheni Kimbunga’ wameanza kurejea kwa wingi katika Wilaya ya Kyerwa, mkoani Kagera wakijiita M23 na kupora mali za wananchi kwa nguvu.
Mkuu wa Wilaya hiyo, Mhandisi Benedict Kitenga, aliyasema hayo wakati akitoa taarifa kwa Mkuu wa Mkoa huo Kanali mstaafu, Fabian Massawe ambaye alitembelea
↧