Msanii wa filamu, Wastara Juma amewaomba Watanzania na wadau
mbalimbali kuungana naye siku ya tarehe 28 December 2013 saa tatu
asubuhi makaburini Kisutu jijini Dar es Salaam kwaajili ya kufanya dua
maalum ya Sajuki
Wastara ametoa taarifa hiyo kupitia ukurasa wake wa Facebook.
“28 Jumamosi kuanzia saa 3 asubuhi naomba mashabiki wangu na wapenzi
wa kipenzi changu kipenzi chenu
↧