Wananchi wakiwa hasira kali wamempiga hadi kumuua mwanaume
aliyedhaniwa kuwa ni mchawi baada ya kuanguka akiwa amepanda ungo maeneo
ya Mbezi Luis jijini Dar es Salaam.
Jamaa huyo mkazi wa Mwanza anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka
20 hadi 25, alianguka jana saa 12 asubuhi maeneo ya Mbezi Luis baada ya
kudai kuwa alikuwa kwenye safari zake za kishirikina.
Mashuhuda
↧