GAZETI la Mtanzania ambalo serikali ililifungia kuchapishwa kwa
muda wa siku 90 kwa kile ilichokieleza kuwa ni kuandika habari za
uchochezi sasa litaanza tena kuchapishwa na kusambazwa nchini Ijumaa ya
Disemba 27, 2013.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana na Mhariri
Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya New Habari (2006) Ltd, Absalom
Kibanda, kwa gazeti hili, uamuzi huo mpya umefikiwa
↧