MABADILIKO makubwa ya Baraza la mawaziri yanayotarajiwa kufanywa wakati
wowote kuanzia sasa na Rais Jakaya Kikwete yameanza kuonyesha kila
dalili za kuibua sura mpya na ambazo hazitarajiwi na wengi sambamba na
kupanda kwa baadhi ya manaibu waziri...Dodoso
zilizofanywa na RAI kutoka kwa watu wa kada na rika mbalimbali
kuhusu muundo mpya wa Baraza la Mawaziri zimeonyesha kuwa iwapo rais
↧