ILIKUWA ni kama uwanja wa vita na mipasho, ndivyo unavyoweza kusema,
baada ya kuibuka vurugu kubwa kati ya Meya wa Halmashauri ya Ilemela,
Henry Matata na madiwani wake wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo
(Chadema).
Vurugu hizo ziliibuka jana kwenye kikao cha Baraza la
Madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela baada ya Matata kuwataka
madiwani watatu wa Chadema kutoka nje ya
↧