Aliyekuwa kocha wa makipa wa Klabu ya Simba, James Kisaka amefariki
dunia leo asubuhi katika Hospitali ya Burhan, Dar es Salaam.
Kisaka
aliyewahi kuwa kipa wa timu hiyo miaka ya nyuma, alikuwa akisumbuliwa na
maradhi ya kichwa, macho na miguu kwa muda mrefu.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi-Amina
<!-- adsense -->
↧