SIKU chache baada ya aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Dk. Emmanuel
Nchimbi kuvuliwa wadhifa wake kwa tuhuma za kushindwa kusimamia wizara
yake, kiongozi huyo ametaka apewe moyo wa upendo na kusamehe.
Nchimbi ambaye ni mbunge wa Songea Mjini kwa tiketi ya CCM, alisema
hayo juzi kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa facebook, wakati
akisherehekea kutimiza miaka 42 ya
↧
Dk. Emmanuel Nchimbi ampigia magoti mwenyezi Mungu ili ampe moyo wa kusamehe kwa mambo aliyotendewa
↧