Rais Jakaya Kikwete anatua nchini leo akiwa na lake moyoni
kuhusu hatima ya baraza lake la mawaziri, baada ya kutengua uteuzi wa
mawaziri wake wanne, wiki mbili zilizopita.
Rais Kikwete alikwenda Marekani, Desemba 18, mwaka
huu kufanyiwa uchunguzi wa afya yake na akiwa huko, upepo wa kisiasa
ulibadilika na kumlazimisha kuchukua hatua hiyo ambayo inampa wajibu wa
kupanga upya safu
↧