Na
Oscar Assenga, Korogwe -- JESHI la Polisi mkoani hapa kwa kushirikiana
na wakazi wa Kijiji cha Maili kumi wilayani Korogwe wamefanikiwa
kuwakamata watu saba kwa tuhuma za kuhusika na kuweka mabomu yaliyokuwa
yameandaliwa tayari kwa kulipuka kwenye nyumba mbili tofauti za ibada.Pamoja
na mabomu hayo, watuhumiwa hao ambao majina yao yanahifadhiwa kwa sababu
za kiuchunguzi
↧