Penzi la Diamond na Penny lavunjika....Wema Sepetu adaiwa kuwa chanzo.
NDIYO habari ya ‘mujini’ kwa sasa, kwamba staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul Juma ‘Diamond Platnumz’ na mwandani wake, mtangazaji wa kituo cha runinga cha DTV, Penniel Mungilwa ‘Penny’ wamemwagana........
View ArticleMwaliko wa kupendekeza majina ya watakaoteuliwa kuwa wajumbe wa bunge la Katiba
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI MWALIKO KWA MAKUNDI MBALIMBALI KUPENDEKEZA MAJINA YA WATAKAOTEULIWA KUWA WAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho...
View ArticleMke amfumania mumewe akingonoka na kimada gesti.....
Mfanyabiashara wa madini aliyefahamika kwa jina moja la Jimmy amejikuta katika wakati mgumu baada ya kufumaniwa na mkewe akiwa na kimada gesti. Tukio hilo lililofunga mtaa kwa kujaza wambea kibao,...
View ArticleBasi la Ally lagongana uso kwa uso na Hiace mkoani Mwanza.....Watu 7 wafariki...
Watu saba wamefariki dunia papo hapo na wengine wengi inasemekana wamejeruhiwa baada ya basi la Allys linalofanya safari zake kati ya Dar es Salaam na Mwanza kugongana uso...
View ArticleHII NDO RIPOTI ILIYOWANG'OA MAWAZIRI 4 JANA BUNGENI ....
TAARIFA YA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA ARDHI, MALIASILI NA MAZINGIRA KUHUSU TATHMINI YA MATATIZO YALIYOTOKANA NA OPARESHENI TOKOMEZA 1.0 UTANGULIZI Mheshimiwa Spika, wakati Bunge likijadili hoja ya...
View ArticleMganga wa Diamond aibuka tena, asema Diamond ameanza kushuka, aapa hatakufa...
Mtu mmoja anayedai kuwa mganga aliyemtoa mkali wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz ameibuka tena na kueleza kuwa Diamond Platinumz tayari ameanza kushuka kimuziki kama alivyosema awali. Mtu huyo...
View ArticlePicha 10 za mapokezi ya Zitto Kabwe mkoani Kigoma
Zitto Kabwe akisalimiana na wafuasi wake... <!-- adsense -->
View ArticleAibu: Padri wa kanisa Katoliki afikishwa mahakamani mkoani Singida baada ya...
KANISA Katoliki limeingia kwenye kashfa baada ya mmoja wa mapadri wake katika Jimbo Katoliki Singida, Deogratius Makuri kufikishwa kwenye Mahakama ya Mwanzo Utemini mjini Singida, akituhumiwa...
View ArticleZitto Kabwe afunika vibaya mkoani kigoma......Hii ni hotuba yake aliyoitoa...
HOTUBA YA MH ZITTO Z. KABWE - KIGOMA – 21 DESEMBA 2013 Leo nina furaha kubwa sana kwani baada ya safari ndefu na yenye changamoto nimerudi nyumbani kuwasalimu wananchi wenzangu! Na hii si salamu za...
View ArticleAjali yaua watu sita mkoani Tanga na kujeruhi 12
Watu sita wamefariki papo hapo na zaidi ya 12 kujeruhiwa baada ya gari la abiria aina ya Toyota Hiace kuligonga kwa nyuma lori la mizigo lililokuwa limeharibika barabarani bila kuonyesha ishara yoyote...
View ArticleJK kumng’oa Pinda? ....Yasemekana kaandika barua ya kujiuzulu , Mbinu ya...
HATUA ya Rais Jakaya Kikwete kuridhia kutengua uteuzi wa mawaziri wanne, sasa ina kila dalili za kumpa nafasi ya kuchukua uamuzi wenye mwelekeo mpya ndani ya muda mfupi ujao kuanzia sasa... Ni katika...
View ArticlePicha na habari kamili kuhusu vifo vya watu 10 vilivyosababishwa na na ajali...
Watu kumi wamefariki dunia, wanane kati yao papo hapo na wengine 16 kujeruhiwa katika ajali mbili tofauti zilizohusisha mabasi ya kampuni ya Bunda na Ally, mkoani Mwanza. Ajali hizo zilitokea ijumaa...
View ArticlePicha 5 za muonekano wa kifua cha Loveness Diva
Habari za weekend wadau, pamoja na mipasho ya habari mbalimbali za kisiasa na matukio ya hapa na pale, si mbaya pia tukaangalia na upande wa pili wa shilingi, nikiwa na maana ya udaku na...
View ArticleBarua mpya ya mfungwa Hongkong akiwataja wahusika wawili wa madawa ya kulevya...
Waraka mwingine ulioandikwa katika lugha ya Kiswahili umechapishwa hapo chini … Waraka huo unataja majina ya Watanzania wawili kuwa wafanyabiashara wa dawa za kulevya. Waraka huo wenye saini ya...
View ArticleEdward Lowassa aongoza tamasha maalum la waendesha bodaboda jijini dar na...
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiwahutubia Vijana waliojiajiri kwa kazi ya kuendesha pikipiki za kupakia abiria maarufu kama Bodaboda wa Mkoa wa Dar es Salaam...
View ArticleSerikali yafuta kodi ya line za simu na kuirejesha kwa staili nyingine
Serikali imeondoa kodi ya kadi za simu iliyopitishwa na wabunge katika Mkutano wa 13 wa Bunge ambayo ililalamikiwa na wadau na watumiaji wa simu nchini. Hata hivyo, kodi hiyo imerejeshwa kwa staili...
View ArticleMkakati mpya wa kumng'oa Mizengo Pinda....wabunge 26 watia saini fomu maalumu...
Baadhi ya wabunge wameanzisha mkakati wa kumwondoa madarakani, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda katika kile wanachodai kuwa hawaridhishwi na utendaji wake serikalini. Hiyo ni dalili kwamba kung’oka kwa...
View ArticleWaendesha bodaboda jijini Dar wadai kwamba Lowassa ndo Rais mteule wa 2015 na...
Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowasa amewataka waendesha bodaboda na watu wengine wasimwite Rais kwa sababu wanamtengenezea chuki na uhusiano mbaya na watu. “Mbona mnataka kuniletea uchuro!...
View ArticlePicha za mkutano wa Dr Slaa Igunga mjini
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willbroad Slaa akiwahutubia wananchi wa Igunga mjini jana katika Uwanja wa Barafu wakati akihitimisha ziara ya kuimarisha na kukagua...
View ArticleHabari kuhusu kusitishwa kwa mkataba wa kocha mkuu wa Yanga.
MUDA mfupi uliopita klabu ya soka ya Yanga imetangaza kusitisha mkataba na kocha wake Ernest Brandts baada ya kutoridhishwa na mwenendo wa timu hiyo. Kwa mujibu wa Ofisa Habari wa Yanga, Baraka...
View Article