TAARIFA YA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA ARDHI, MALIASILI NA MAZINGIRA
KUHUSU TATHMINI YA MATATIZO YALIYOTOKANA NA OPARESHENI TOKOMEZA
1.0 UTANGULIZI
Mheshimiwa Spika, wakati Bunge likijadili hoja ya kuahirisha shughuli za
Bunge ili kujadili jambo muhimu la dharura kwa mujibu wa Kanuni ya 47
ya Kanuni za Kudumu za Bunge, Toleo la 2013, iliyowasilishwa na Mhe.
Said Nkumba, Mbunge wa
↧