Watu saba wamefariki dunia papo hapo na wengine wengi inasemekana wamejeruhiwa baada ya basi la Allys linalofanya safari zake kati ya Dar es Salaam na Mwanza kugongana uso kwa uso na Hiace katika eneo la Buhongwa mkoani Mwanza....
Majeruhi wa ajali hiyo wamekimbizwa hospitali ya Bugando kwa ajili ya matibabu
<!-- adsense -->
↧