Mfanyabiashara wa madini
aliyefahamika kwa jina moja la Jimmy amejikuta katika wakati mgumu baada
ya kufumaniwa na mkewe akiwa na kimada gesti.
Tukio hilo lililofunga mtaa kwa kujaza wambea kibao, lilitokea hivi
karibuni ndani ya gesti moja Kinondoni jijini Dar es
salaam ambapo mke wa mfanyabiashara huyo (jina halikupatikana mara
moja), alimnasa mumewe akijiandaa kuvunja amri ya
↧