Mtu mmoja anayedai kuwa mganga aliyemtoa mkali wa Bongo Fleva,
Diamond Platinumz ameibuka tena na kueleza kuwa Diamond Platinumz tayari
ameanza kushuka kimuziki kama alivyosema awali.
Mtu huyo anayejitambulisha kwa jina la Dr. Yahya Michael ameuambia
mtandao wa mamuafrica kuwa kile alichokisema mwanzo kuwa Diamond
Platinumz atashuka kimuziki na kurudi pale alipokuwa kimeanza
↧