KANISA Katoliki limeingia kwenye kashfa baada ya mmoja wa mapadri wake katika Jimbo Katoliki Singida, Deogratius Makuri kufikishwa kwenye Mahakama ya Mwanzo Utemini mjini Singida, akituhumiwa kushindwa kutunza mtoto wake mwenye umri wa mwaka mmoja.
Mbele ya Hakimu wa Mahakama hiyo, Ferdinand Njau, ilidaiwa, kuwa Padri Makuri alikuwa na uhusiano wa kimapenzi kwa muda mrefu na Maria
↧