Habari za weekend wadau, pamoja na mipasho ya habari mbalimbali za
kisiasa na matukio ya hapa na pale, si mbaya pia tukaangalia na
upande wa pili wa shilingi, nikiwa na maana ya udaku na
burudani....
Inawezekana ukawa hupendi udaku, lakini naamini kuna wanaopenda, hivyo si vizuri kuwakatili...
Hapo
chini kuna picha kadhaa za muonekano wa mwanadada
↧