Waraka mwingine ulioandikwa katika lugha ya Kiswahili umechapishwa
hapo chini … Waraka huo unataja majina ya Watanzania wawili kuwa
wafanyabiashara wa dawa za kulevya.
Waraka huo wenye saini ya aliyejiita Jumaa, akiwa jela Hon Kong,
ni wa kurasa mbili zilizojaa maneno ya kujuta kwa kufanya kazi hiyo
haramu. Ni waraka ambao unaeleza mbinu mpya inayotumiwa na
wafanyabiashara
↧