Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa
akiwahutubia Vijana waliojiajiri kwa kazi ya kuendesha pikipiki za
kupakia abiria maarufu kama Bodaboda wa Mkoa wa Dar es Salaam (hawapo
pichani) wakati wa Tamasha Maalum la Bodaboda lililofanyika leo kwenye
Viwanja vya Leaders Club,jijini Dar es Salaam.Mh. Lowassa alikuwa ni
Mgeni Rasmi katika hafla hiyo iliyofana
↧