Serikali imeondoa kodi ya kadi za simu iliyopitishwa na wabunge
katika Mkutano wa 13 wa Bunge ambayo ililalamikiwa na wadau na watumiaji
wa simu nchini.
Hata hivyo, kodi hiyo imerejeshwa kwa staili
nyingine baada ya kuongezwa katika tozo la kodi ya manunuzi iliyokuwepo
kutoka asilimia 14.5 ya awali hadi asilimia 17.
Kauli hiyo ilitolewa juzi na
↧