Baadhi ya wabunge wameanzisha mkakati wa kumwondoa madarakani,
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda katika kile wanachodai kuwa hawaridhishwi na
utendaji wake serikalini.
Hiyo ni dalili kwamba kung’oka kwa mawaziri wanne
kutokana na matokeo ya ripoti ya utekelezaji wa Operesheni Tokomeza
Ujangili hakujamnusuru Pinda, kwani baadhi ya wabunge wanaendelea na
msimamo kwamba naye ajiuzulu kwa
↧