HATUA ya Rais Jakaya Kikwete kuridhia kutengua uteuzi wa mawaziri wanne,
sasa ina kila dalili za kumpa nafasi ya kuchukua uamuzi wenye mwelekeo
mpya ndani ya muda mfupi ujao kuanzia sasa...
Ni
katika mwelekeo huo, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, ambaye naye alitakiwa
na wabunge kujiuzulu, licha ya juzi kutokuwa tayari kulizungumzia jambo
hilo wakati akitangaza uamuzi wa Rais kutengua
↧
JK kumng’oa Pinda? ....Yasemekana kaandika barua ya kujiuzulu , Mbinu ya Kikwete kumnusuru yabainika
↧