MUDA mfupi uliopita klabu ya soka ya Yanga imetangaza
kusitisha mkataba na kocha wake Ernest Brandts baada ya kutoridhishwa na
mwenendo wa timu hiyo. Kwa mujibu wa Ofisa Habari wa Yanga,
Baraka Kizuguto, mkataba wa Brandts ambaye ni raia wa Uholanzi
umesitishwa rasmi leo hii asubuhi na ameshakabidhiwa barua ya kumtaarifu
juu ya hali hiyo. “Tumesitisha mkataba na kocha wetu na
↧