Takribani miezi kadhaa iliyopita star wa filamu Diana Kimaro
alikaririwa akisema kuwa yeye ni bikira na hajawahi kulala na mwanaume
yeyote kwani yupo busy na shule....
Diana aliyasema hayo katika kuweka wazi
kuwa baadhi ya watu walikuwa wanamuona ni mcharuko kutokana na
baadhi ya filamu alizoigiza kama mcharuko na kucheza vizuri hivyo
wengine kudhani ni kweli. ...
Hata hivyo
↧