TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
MWALIKO KWA MAKUNDI MBALIMBALI KUPENDEKEZA MAJINA YA WATAKAOTEULIWA KUWA WAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho
Kikwete anapenda kutoa mwaliko kwa makundi mbalimbali kwa ajili ya
kuwasilisha orodha ya watu wasiopungua wanne na waziozidi tisa kwa ajili
ya kuteuliwa kuwa wajumbe wa Bunge Maalum
↧