Mv Magogoni yanusurika kuzama bahari ya Hindi baada ya injini zake kushindwa...
Kivuko kikubwa cha Mv Magogoni kinachofanya safari zake kati ya Kivukoni na Kigamboni jijini Dar es Salaam kimekosa muelekeo majini katika bahari ya Hindi kikiwa na abiria na magari baada ya injini...
View ArticlePicha tatu za ndege iliyonusurika kuua watu 200 jijini Arusha leo
Ndege ya abiria aina ya Boeing 787 ya shirika la ndege la Ethiopia (Ethiopian Airlines) leo mchana imeshindwa kutua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) kutokana na hitilafu...
View ArticleRay C anatafuta mwanaume mwaminifu wa kumuoa.....Kama upo single na unapenda...
STAA wa muziki wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’ ameibuka na kusema kuwa anahitaji mume anayemzidi umri kwa miaka kumi. Akizungumza hivi karibuni kwenye kituo kimoja maarufu cha runinga, Ray...
View ArticleKituo cha polisi chachomwa moto mkoani Morogoro......Raia wawili na polisi...
Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Said Mwema.( PICHA ya MAKTABA) ***** Watu watatu, akiwamo askari polisi wamefariki dunia na wengine watatu kujeruhiwa baada ya kuzuka mapambano kati ya polisi na raia...
View ArticleMwenyekiti wa CCM aliyeuawa na wananchi mkoani mwanza atazikwa leo
MWILI wa Mwenyekiti wa zamani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mwanza, Clement Mabina (65) unatarajiwa kuzikwa leo katika eneo la Kanyama, jirani na yalipotokea mauaji yake. Marehemu Mabina...
View ArticleCHADEMA waikataa Rufaa ya Zitto Kabwe....Wamesema kuwa wanataka waamue kwanza...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema hakitashughulikia rufaa iliyokatwa na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, kwa Baraza Kuu kupinga uamuzi wa Kamati Kuu (CC) wa kumvua nyadhifa...
View ArticleHabari njema: Rais Kikwete amesaini Hati ya Dhararua ya kufanya marekebisho...
Habari za kodi kwa laini za simu ilichukua vichwa vya habari kwa wakati wake hadi pale mheshimiwa Rais alipotoa agizo kwa wahusika kulishughulikia suala hilo.... Naibu Waziri mwenye dhamana ya...
View ArticleRais Kikwete aelekea Marekani kufanyiwa uchunguzi wa afya yake.....
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameondoka nchini jioni ya jana, Jumatano, Desemba 18, 2013, kwenda Marekani kufanyiwa uchunguzi wa afya yake. Kwa mujibu wa...
View ArticleWaziri Magufuli na Steven Wassira waongoza maelfu ya wananchi katika mazishi...
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Mwanza na Diwani wa Kata ya Kisesa (CCM), Clement Mabina (56), amezikwa mchana huu shambani kwake Kanyamati, Kisesa mkoani Mwanza. Mazishi hayo...
View ArticleTume ya Katiba kukabidhi Rasimu ya Katiba kwa Mhe. Rais Desemba 30 2013...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Hafla ya kukabidhi Rasimu ya Katiba kwa Mhe. Rais Tume ya Mabadiliko ya Katiba inapenda kuwafahamisha wananchi na wadau wengine wote kuwa Hafla ya kukabidhi Rasimu ya...
View ArticleMtuhumiwa wa mauaji ya padri mushi aachiwa kwa dhamana na mahakama ya Zanzibar
Mahakama Kuu Zanzibar imemuachia kwa dhamana Omar Mussa Makame mwenye mtoto anayetuhumiwa kumuua Padri Evaristi Mushi baada ya kudhaminiwa na wadhamini wawili kwa dhamana ya shilingi laki 5 kila...
View ArticleAmanda ataja sababu zinazowafanya wasanii wa kike wasagane.
Msanii wa filamu, Tamrina Poshi ‘Amanda’ amefungukia sababu za baadhi ya mastaa kujiingiza kwenye tabia chafu ya usagaji akidai kuwa, kutendwa na wanaume ndiyo chanzo cha yote. Akizungumza na mwandishi...
View Article"Comedy haitulipi vizuri, tunadharaulika, waigizaji wenzetu wanatutenga kwa...
Mchekeshaji mkongwe wa Tanzania Rashidi Mwishehe aka Kingwendu amedai kuwa sanaa ya vichekesho Tanzania haiwalipi vizuri wasanii hao. Akiongea kupitia Hatua Tatu ya 100.5 Times Fm, Kingwendu amesema...
View ArticleSakata la Mbowe kuchanganya mapenzi na kazi ( kwa mujibu wa Mwigulu )...
SAKATA la Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe (Chadema), kutuhumiwa kutumia vibaya madaraka yake, limeweka ndoa za wabunge shakani. Mbowe juzi alituhumiwa na Mbunge wa Iramba...
View ArticleZitto Kabwe kuanza ziara ya siku tano Mkoani Kigoma kuanzia leo
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto (Chadema), anatarajia kuanza ziara ya siku tano mkoani Kigoma, itakayomfikisha katika majimbo mbalimbali ya uchaguzi mkoani Kigoma. Katibu wa mbunge huyo, Alex...
View ArticleRipoti tokomeza Majangili yawafanya wabunge washikane mashati....Bunge...
Kamati ya Lembeli ambayo leo imesoma Taarifa ya Uchunguzi ya Kamati kwa Bunge imependekeza Waziri wa Maendeleo na Uvuvi, Dk David Mathayo David , Mkurugezi wa Wanyamapori na maofisa wengine...
View ArticleWatanzania waliowekwa dhamana na vigogo nchini Pakstani kwa dawa za kulevya...
via gazeti la MAJIRA -- Sakata la Watanzania wanaoshikiliwa nchini Pakistan na mtandao unaohusika na biashara ya dawa za kulevya ambao wapo mafichoni nchini humo kama dhamana ya vigogo wanaofanya...
View ArticleMsuguano bado unaendelea bungeni....Fomu za kumng'oa waziri Pinda zimeingizwa...
Hali bado ni tete bungeni.....Wabunge wanawataka Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Waziri wa Maliasili na Utalii, Khamisi Kagasheki, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi na Waziri wa...
View ArticleWaziri wa Maliasili na utalii, mh. balozi Khamis Sued Kagasheki atangaza...
Waziri wa Maliasili na Utalii Mh. Balozi Khamisi Kagasheki ametangaza nia ya kujiuzulu wadhifa wake dakika chache zilizopita bungeni mjini Dodoma.Sababu kubwa ya kujiuzulu ni baada ya kusomwa ripoti...
View ArticleBreaking News: Mawaziri 4 wavuliwa nafasi zao usiku huu bungeni
Rais Jakaya Kikwete leo ametengua uteuzi wa mawaziri wanne kufuatia shutuma nzito dhidi yao katika sakata la Operesheni Tokomeza Ujangili. Mawaziri waliopoteza ajira zao usiku huu ni pamoja na Khamis...
View Article