MWILI wa Mwenyekiti wa zamani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa
Mwanza, Clement Mabina (65) unatarajiwa kuzikwa leo katika eneo la
Kanyama, jirani na yalipotokea mauaji yake. Marehemu Mabina alifariki
dunia Jumapili iliyopita baada ya kutokea vurugu kubwa baina yake na
wananchi wa kitongoji cha Kanyama kilichopo katika Kata la Ilemela,
ambayo alikuwa Diwani wake.
Kabla ya
↧