Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Said Mwema.( PICHA ya MAKTABA)
*****
Watu watatu, akiwamo askari polisi wamefariki dunia na wengine
watatu kujeruhiwa baada ya kuzuka mapambano kati ya polisi na raia
katika Kijiji cha Igwati, Tarafa ya Malinyi Wilaya ya Ulanga, Morogoro.
Diwani wa Kata ya Malinyi, Said Kila aliwataja waliofariki dunia kuwa ni Leon Chikwita, Andrew Likomoka na Edson
↧