STAA wa muziki wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’ ameibuka na kusema kuwa anahitaji mume anayemzidi umri kwa miaka kumi.
Akizungumza
hivi karibuni kwenye kituo kimoja maarufu cha runinga, Ray C alisema
anahitaji mwanaume mtu mzima anayemzidi miaka kumi, anayejitambua na
asiwe mwanamuziki kwani anaamini akiwa na mtu kama huyo uhusiano wao
utakuwa mzuri kuliko ule wa awali
↧