Chama
cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema hakitashughulikia rufaa
iliyokatwa na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, kwa Baraza Kuu
kupinga uamuzi wa Kamati Kuu (CC) wa kumvua nyadhifa zake katika chama,
hadi hapo itakapopitia utetezi wake na kuamua hatima ya uanachama wake
katika chama hicho.
Pia kimethibitisha kupokea utetezi dhidi ya mashitaka 11 yanayohusisha
↧