Habari za kodi kwa laini za simu ilichukua vichwa vya habari kwa
wakati wake hadi pale mheshimiwa Rais alipotoa agizo kwa wahusika
kulishughulikia suala hilo....
Naibu Waziri mwenye dhamana ya mawasiliano,sayansi na teknolojia “January Makamba” ametoa habari mpya na nzuri kuhusu kodi hii....
Kupita ukurasa wake wa facebook,Makamba ameposti huu ujumbe:
“Mheshimiwa Rais
↧