Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho
Kikwete ameondoka nchini jioni ya jana, Jumatano, Desemba 18, 2013,
kwenda Marekani kufanyiwa uchunguzi wa afya yake.
Kwa mujibu wa
ratiba ya shughuli za uchunguzi wa afya yake na kwa kutilia maanani siku
za kusafiri kwenda Marekani na kurudi nchini, Rais Kikwete anatarajiwa
kurejea nchini Alhamisi ya wiki ijayo, Desemba
↧