Msanii wa filamu, Tamrina Poshi ‘Amanda’ amefungukia sababu za baadhi
ya mastaa kujiingiza kwenye tabia chafu ya usagaji akidai kuwa,
kutendwa na wanaume ndiyo chanzo cha yote.
Akizungumza na mwandishi wetu hivi karibuni, Amanda alisema maudhi ambayo
baadhi ya mastaa wamekuwa wakiyapata kutoka kwa wapenzi wao waliotokea
kuwapenda ndiyo husababisha baadhi yao kuona suluhisho ni
↧