$ 0 0 Mahakama Kuu Zanzibar imemuachia kwa dhamana Omar Mussa Makame mwenye mtoto anayetuhumiwa kumuua Padri Evaristi Mushi baada ya kudhaminiwa na wadhamini wawili kwa dhamana ya shilingi laki 5 kila mmoja.<!-- adsense -->