TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Hafla ya kukabidhi Rasimu ya Katiba kwa Mhe. Rais
Tume
ya Mabadiliko ya Katiba inapenda kuwafahamisha wananchi na wadau
wengine wote kuwa Hafla ya kukabidhi Rasimu ya Katiba kwa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Mhe.
Dkt. Ali Mohammed Shein, Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi itafanyika siku
↧