Mchekeshaji mkongwe wa Tanzania Rashidi Mwishehe aka
Kingwendu amedai kuwa sanaa ya vichekesho Tanzania haiwalipi vizuri
wasanii hao.
Akiongea kupitia Hatua Tatu ya 100.5 Times Fm, Kingwendu amesema
kutokana na kipato kidogo wanachokipata wasanii hao, hujikuta wakitengwa
na wasanii wenzao wa Bongo Movies ambao huingiza kiasi kikubwa cha pesa
kwa kucheza movies hizo.
“Kwa kweli
↧